Breakfast ideasCOCONUT BUNSMahitaji Unga wa ngano vikombe 4 Maziwa ya Unga vijiko 2 chakula Sukari Vijiko 4 chakula Tui la nazi zito kikombe 1 Hamira kijiko 1chakula Maji vugu vugu 14 kikombe Sukari kijiko 1 chai Hiriki 14 kijiko chai Nazi ilokunwa 12 kikombe Siagi vijiko 4 chakula Chumvi 12 kijikochai Ganda la chungwa liloparwa 1 Ute wa mayai 2MATAYARISHO NA JINSI YA KUOKA1 Umua hamira pembeni kwa Maji ya vuguvugu 14 kikombe na Sukari kijiko 1 cha chai2 Changanya mahitaji yote kisha kanda kufanya unga mlaini na unaovutika3 Funika acha ufure kwa muda wa saa moja kata kisha fanya maduara size upendayo na yapange katika round spring pan au sufuria ulopaka mafuta ukiwa umeyapanga karibu karibu4 Acha yafure Chukua tui la nazi zito vikombe 3 na sukari kikombe 1 au zaidi ukipenda pasha moto kuyeyusha sukariacha ipoe Mwagia katika Buns zako zilizo umuka hakikisha unaenea hadi kufunika buns5 Oka ktk oven Joto 190c hadi ziive na kupata rangi nzuri toa ktk oven acha zipoe kidogo EnjoyBuns ni super yummy and soft #laylkitchen1 #food #foodporn #homemade #buns #coconut#breakfast by ashliepater